Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 40:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Fundi hutengeneza sanamu,*

      Mfua chuma huifunika kwa dhahabu,+

      Naye huitengenezea mikufu ya fedha.

  • Yeremia 10:8, 9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  8 Wote hawatumii akili nao ni wajinga.+

      Mafundisho kutoka kwa mti ni udanganyifu* mtupu.+

       9 Mabamba ya fedha huletwa kutoka Tarshishi+ na dhahabu kutoka Ufazi,

      Kazi ya fundi, ya mikono ya mhunzi.

      Mavazi yao ni nyuzi za bluu na sufu ya zambarau.

      Vyote hutengenezwa na wafanyakazi stadi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki