Danieli 2:2 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 2 Basi mfalme akaagiza makuhani wachawi, watu wanaofanya mazingaombwe, walozi, na Wakaldayo* waitwe ili wamwambie mfalme ndoto zake. Kwa hiyo wakaja na kusimama mbele ya mfalme.+
2 Basi mfalme akaagiza makuhani wachawi, watu wanaofanya mazingaombwe, walozi, na Wakaldayo* waitwe ili wamwambie mfalme ndoto zake. Kwa hiyo wakaja na kusimama mbele ya mfalme.+