Amosi 5:23, 24 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 23 Niondoleeni kelele za nyimbo zenu;Na sitaki kusikia miziki ya vinanda vyenu.+ 24 Acheni haki itiririke kama maji,+Na uadilifu kama kijito kinachotiririka daima.
23 Niondoleeni kelele za nyimbo zenu;Na sitaki kusikia miziki ya vinanda vyenu.+ 24 Acheni haki itiririke kama maji,+Na uadilifu kama kijito kinachotiririka daima.