-
Luka 10:34Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
34 Basi akamkaribia akayamwagia majeraha yake mafuta na divai, kisha akayafunga. Akampandisha kwenye punda wake akampeleka kwenye nyumba ya wageni na kumtunza.
-