-
Isaya 35:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Mtu asiye safi hatasafiri kwenye njia hiyo.+
Imetengwa kwa ajili ya yule anayetembea katika njia hiyo;
Hakuna mtu yeyote mpumbavu atakayepotea na kuingia katika njia hiyo.
-
-
Isaya 60:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 Na watu wako wote watakuwa waadilifu;
Wataimiliki nchi milele.
-