-
Ufunuo 21:19Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Misingi ya ukuta wa jiji ilikuwa imepambwa kwa kila namna ya jiwe la thamani: msingi wa kwanza ulikuwa yaspi, wa pili yakuti, wa tatu kalkedoni, wa nne zumaridi,
-