Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 105:10, 11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 10 Alichotoa kama amri kwa Yakobo

      Na kama agano la kudumu kwa Israeli,

      11 Akisema, “Nitakupa nchi ya Kanaani+

      Kuwa urithi wako uliogawiwa.”+

  • Yeremia 3:18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 18 “Siku hizo watatembea pamoja, nyumba ya Yuda kando ya nyumba ya Israeli,+ na pamoja watatoka katika nchi ya kaskazini na kuingia katika nchi niliyowapa mababu zenu kuwa urithi.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki