Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 49:21, 22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Nawe utasema moyoni mwako,

      ‘Ni baba gani aliyenizalia watoto hawa,

      Kwa kuwa mimi ni mwanamke niliyefiwa na watoto, nami ni tasa,

      Nami nilipelekwa uhamishoni na kufungwa?

      Ni nani aliyewalea hawa?+

      Tazameni! Nilibaki peke yangu,+

      Sasa hawa wametoka wapi?’”+

      22 Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova anasema hivi:

      “Tazameni! Nitayainulia mataifa mkono wangu,

      Nami nitawainulia watu ishara yangu.*+

      Watawaleta wana wako wakiwa wamewabeba mikononi mwao*

      Na kuwabeba mabinti wako kwenye mabega yao.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki