Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 61:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  6 Nanyi mtaitwa makuhani wa Yehova;+

      Watawaita wahudumu wa Mungu wetu.

      Mtakula mali za mataifa,+

      Nanyi mtajivunia utukufu* wao.

  • Hagai 2:7, 8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 7 “‘Nami nitayatikisa mataifa yote, na vitu vyenye thamani* vya mataifa yote vitaingia katika nyumba hii;+ nami nitaijaza nyumba hii utukufu,’+ asema Yehova wa majeshi.

      8 “‘Fedha ni yangu, na dhahabu ni yangu,’ asema Yehova wa majeshi.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki