Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 15:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Kisha Hoshea+ mwana wa Ela akapanga njama dhidi ya Peka mwana wa Remalia, akampiga na kumuua; naye akawa mfalme baada yake katika mwaka wa 20 wa utawala wa Yothamu+ mwana wa Uzia.

  • Isaya 8:6, 7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  6 “Kwa sababu watu hawa wamekataa maji ya Shiloa* yanayotiririka polepole+

      Nao wanamshangilia Resini na mwana wa Remalia,+

       7 Kwa hiyo tazama! Yehova ataleta dhidi yao

      Maji yenye nguvu na yaliyo mengi ya ule Mto,*

      Mfalme wa Ashuru+ na utukufu wake wote.

      Atakuja juu ya sakafu zake zote za vijito

      Na kufurika kwenye kingo zake zote

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki