-
Mambo ya Walawi 11:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Kila kiumbe anayetembea kwa miguu yenye makucha kati ya viumbe wanaotembea kwa miguu minne si safi kwenu. Kila mtu anayegusa mizoga yao hatakuwa safi mpaka jioni.
-