Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 18:33, 34
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 33 Je, kuna mungu yeyote kati ya miungu ya mataifa ambaye amewahi kuiokoa nchi yake kutoka mikononi mwa mfalme wa Ashuru? 34 Iko wapi miungu ya Hamathi+ na Arpadi? Iko wapi miungu ya Sefarvaimu,+ Hena, na Iva? Je, imeokoa Samaria kutoka mikononi mwangu?+

  • 2 Mambo ya Nyakati 32:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Watumishi wake wakasema mambo mengi zaidi mabaya dhidi ya Yehova Mungu wa kweli na dhidi ya Hezekia mtumishi wake.

  • 2 Mambo ya Nyakati 32:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Walisema mambo mabaya dhidi ya Mungu wa Yerusalemu kama walivyosema dhidi ya miungu ya mataifa yaliyo duniani, ambayo ni kazi ya mikono ya mwanadamu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki