-
Ufunuo 18:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Na sauti ya waimbaji ambao hufuatanisha sauti zao kwa kinubi, ya wanamuziki, ya wapiga-filimbi, na ya wapiga-tarumbeta haitasikiwa tena ndani yako. Na hakuna fundi anayefanya kazi yoyote atakayepatikana tena ndani yako, na hakuna sauti ya jiwe la kusagia itakayosikiwa tena ndani yako.
-