Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 9:25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 25 Mvua hiyo ya mawe ilipiga kila kitu kilichokuwa shambani katika nchi yote ya Misri, kuanzia mwanadamu mpaka mnyama, iliharibu kabisa mimea yote na kuvunjavunja miti yote ya shambani.+

  • Kutoka 9:31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Sasa mimea ya kitani na shayiri ilikuwa imeharibiwa kabisa na mvua, kwa sababu mimea ya shayiri ilikuwa na masuke na mimea ya kitani ilikuwa imechanua maua.

  • Methali 7:16
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Nimetandika matandiko bora kitandani mwangu,

      Kitani cha Misri chenye rangi mbalimbali.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki