Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mwanzo 41:8
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 Lakini asubuhi, roho yake ikafadhaika. Basi akaagiza makuhani wote wachawi wa Misri na watu wake wote wenye hekima waitwe. Farao akawasimulia ndoto zake, lakini hakuna yeyote aliyeweza kumwambia Farao maana yake.*

  • 1 Wafalme 4:30
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 30 Hekima ya Sulemani ilizidi hekima ya watu wote wa Mashariki na hekima yote ya Misri.+

  • Matendo 7:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Basi Musa akafundishwa hekima yote ya Wamisri. Kwa kweli, alikuwa mwenye nguvu katika maneno na matendo yake.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki