-
2 Wafalme 16:10, 11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Ndipo Mfalme Ahazi akaenda kukutana na Mfalme Tiglath-pileseri wa Ashuru kule Damasko. Alipoona madhabahu iliyokuwa Damasko, Mfalme Ahazi akamtumia kuhani Uriya ramani ya madhabahu hiyo, akamwonyesha mfano wake na jinsi ilivyojengwa.+ 11 Kuhani Uriya+ akajenga madhabahu+ kulingana na maagizo yote ambayo Mfalme Ahazi alikuwa ametuma kutoka Damasko. Kuhani Uriya akamaliza kuijenga kabla ya Mfalme Ahazi kurudi kutoka Damasko.
-
-
Yeremia 5:31Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Na watu wangu wanapenda mambo yawe hivyo.+
Lakini mtafanya nini mwisho ukifika?”
-