Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Zaburi 46:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  6 Mataifa yalikuwa katika msukosuko, falme zilipinduliwa;

      Alipaza sauti yake, dunia ikayeyuka.+

  • Zaburi 68:1
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 68 Mungu na ainuke, maadui wake na watawanyike,

      Wale wanaomchukia na wakimbie kutoka mbele zake.+

  • Isaya 17:13
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 13 Mataifa yatatoa sauti kama mngurumo wa maji mengi.

      Atayakemea, nayo yatakimbia mbali sana,

      Yakifukuzwa kama makapi ya milima mbele ya upepo

      Kama mchongoma unaopeperushwa na* upepo wa dhoruba.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki