Isaya 44:3 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 3 Kwa maana nitammiminia maji mwenye kiu*+Na kumimina vijito vinavyotiririka kwenye ardhi iliyokauka. Nitaimimina roho yangu juu ya uzao wako*+Na baraka yangu juu ya wazao wako.
3 Kwa maana nitammiminia maji mwenye kiu*+Na kumimina vijito vinavyotiririka kwenye ardhi iliyokauka. Nitaimimina roho yangu juu ya uzao wako*+Na baraka yangu juu ya wazao wako.