7 Na katika siku za utawala wa Mfalme Artashasta wa Uajemi, Bishlamu, Mithredathi, Tabeeli, na wenzake walimwandikia Mfalme Artashasta; wakaitafsiri barua hiyo katika Kiaramu,+ na kuiandika kwa herufi za Kiaramu.*
4 Wakaldayo wakamjibu mfalme kwa lugha ya Kiaramu:*+ “Ee mfalme, na uishi milele. Tusimulie ndoto yako sisi watumishi wako, nasi tutakuambia maana yake.”