Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 24:12
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 12 Mfalme Yehoyakini wa Yuda akatoka nje kwenda kukutana na mfalme wa Babiloni,+ akiwa pamoja na mama yake, watumishi wake, wakuu wake, na maofisa wa makao yake;+ na mfalme wa Babiloni akamchukua mateka katika mwaka wa nane wa utawala wake.+

  • Danieli 2:49
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 49 Na kwa ombi la Danieli, mfalme akawaweka Shadraki, Meshaki, na Abednego+ kuwa wakuu wa usimamizi wa mkoa wa* Babiloni, lakini Danieli alifanya kazi katika makao ya mfalme.

  • Danieli 5:29
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 29 Ndipo Belshaza akatoa amri, nao wakamvisha Danieli mavazi ya zambarau na mkufu wa dhahabu shingoni mwake; wakatangaza kwamba atakuwa mtawala wa tatu katika ufalme.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki