-
Mwanzo 15:17Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
17 Jua lilipotua na giza zito kuingia, tanuru linalofuka moshi lilitokea, na mwenge wa moto ukapita katikati ya vile vipande vya nyama.
-