Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 10:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Alipokuwa akiondoka mahali hapo, alikutana na Yehonadabu+ mwana wa Rekabu+ akija kumpokea. Yehu akamsalimia* na kumuuliza: “Je, moyo wako ni kamili* kunielekea, kama moyo wangu ulivyo kamili kukuelekea?”

      Yehonadabu akajibu: “Ndiyo.”

      “Ikiwa ndivyo, nipe mkono wako.”

      Kwa hiyo akampa mkono wake, na Yehu akamvuta na kumpandisha kwenye gari lake.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki