Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 26:15
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 15 Ila tu mjue kwa hakika kwamba mkiniua, mtajiletea damu isiyo na hatia juu yenu na juu ya jiji hili na juu ya wakaaji wake, kwa maana kwa kweli Yehova alinituma kwenu ili niseme maneno haya mkiyasikia.”

  • Yeremia 38:8, 9
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 8 basi Ebed-meleki akatoka katika nyumba ya* mfalme na kuzungumza na mfalme, akisema: 9 “Ee bwana wangu mfalme, watu hawa wamemtendea Yeremia uovu! Wamemtupa ndani ya tangi, naye atafia humo kwa sababu ya njaa kali, kwa maana hakuna mkate uliobaki jijini.”+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki