Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 3:24, 25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Walipoingia katika kambi ya Israeli, Waisraeli wakatoka na kuanza kuwaua Wamoabu, nao wakawakimbia.+ Waisraeli wakazidi kuingia Moabu, wakawaua Wamoabu kadiri walivyosonga. 25 Wakabomoa majiji, na kila mtu akatupa jiwe katika kila shamba zuri, na kulijaza mawe; wakaziba kila chemchemi ya maji+ na kuukata kila mti mzuri.+ Mwishowe ni kuta za mawe za jiji la Kir-haresethi+ pekee zilizobaki, na watu wenye makombeo wakalizunguka na kuliangamiza.

  • Isaya 16:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  7 Basi Moabu atamwombolezea Moabu;

      Wote wataomboleza.+

      Wale waliopigwa wataomboleza kwa sababu ya keki za zabibu kavu za Kir-haresethi.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki