-
Isaya 16:8, 9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Kwa maana matuta ya Heshboni+ yamenyauka.
Mzabibu wa Sibma,+
Watawala wa mataifa wameyakanyaga matawi yake mekundu sana;*
Walikuwa wamefika mpaka Yazeri;+
Walikuwa wameenea mpaka nyikani.
Machipukizi yake yalikuwa yameenea mpaka baharini.
9 Hiyo ndiyo sababu nitaulilia mzabibu wa Sibma kama ninavyolilia Yazeri.
-