Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 15:4-6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  4 Heshboni na Eleale+ wanalia kwa sauti;

      Sauti yao inasikika mpaka Yahazi.+

      Ndiyo sababu watu wenye silaha wa Moabu wanaendelea kupaza sauti.

      Anatetemeka.*

       5 Moyo wangu unamlilia Moabu.

      Wakimbizi wake wamekimbia mpaka Soari+ na Eglath-shelishiya.+

      Kwenye njia inayopanda kwenda Luhithi wanalia wakipanda;

      Kwenye njia ya kwenda Horonaimu wanalia kwa sauti kwa sababu ya msiba.+

       6 Kwa maana maji ya Nimrimu yamekuwa ukiwa;

      Majani mabichi yamekauka,

      Majani yamekwisha na hakuna chochote kibichi kilichobaki.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki