Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 3:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Kwa maana Mfalme Ogu wa Bashani ndiye Mrefaimu pekee aliyekuwa amebaki. Jeneza lake lilitengenezwa kwa chuma,* na bado liko katika jiji la Waamoni la Raba. Lina urefu wa mikono tisa* na upana wa mikono minne, kulingana na kipimo cha kawaida cha mkono.

  • Yoshua 13:24, 25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Pia, Musa akawapa urithi watu wa kabila la Gadi, kulingana na koo zao, 25 na eneo lao lilitia ndani Yazeri+ na majiji yote ya Gileadi na nusu ya nchi ya Waamoni+ hadi Aroeri, mbele ya Raba;+

  • Ezekieli 25:5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 5 Nitalifanya jiji la Raba+ liwe malisho ya ngamia, na nchi ya Waamoni iwe mahali pa kupumzika kwa ajili ya mifugo; nanyi mtalazimika kujua kwamba mimi ni Yehova.”’”

  • Amosi 1:14
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 14 Basi nitaushushia moto ukuta wa Raba,+

      Nao utateketeza kabisa ngome zake zenye minara,

      Kwa kelele za vita katika siku ya mapigano,

      Kwa tufani katika siku ya kimbunga.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki