-
Isaya 13:20, 21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Hakuna Mwarabu atakayepiga hema lake huko,
Na hakuna wachungaji watakaopumzisha mifugo yao huko.
21 Viumbe wa jangwani watalala huko;
Nyumba zao zitajaa bundi-tai.
-