Mika 7:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Ghadhabu ya Yehova nitaivumilia—Kwa maana nimemtendea dhambi—+Mpaka atakapoitetea kesi yangu na kutekeleza haki kwa ajili yangu. Atanileta nje kwenye nuru; Nitautazama uadilifu wake.
9 Ghadhabu ya Yehova nitaivumilia—Kwa maana nimemtendea dhambi—+Mpaka atakapoitetea kesi yangu na kutekeleza haki kwa ajili yangu. Atanileta nje kwenye nuru; Nitautazama uadilifu wake.