-
Habakuki 2:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Ole wake anayeitafutia nyumba yake faida ya uovu,
Ili aweke kiota chake juu,
Aepuke kunaswa na msiba!
-
-
Ufunuo 18:11, 12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 “Pia, wafanyabiashara wa dunia wanalia na kuomboleza kwa sababu yake, kwa kuwa hakuna yeyote wa kununua tena bidhaa zao zilizojaa, 12 mizigo iliyojaa ya dhahabu, fedha, mawe ya thamani, lulu, kitani bora, vitambaa vya zambarau, hariri, na vitambaa vyekundu; na kila kitu kilichotengenezwa kwa mbao zenye manukato; na kila aina ya kitu kilichotengenezwa kwa pembe za tembo, na kwa mbao za thamani, shaba, chuma, na marumaru;
-