Isaya 44:11 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 11 Tazameni! Wenzake wote wataaibishwa!+ Mafundi ni wanadamu tu. Wote na wakusanyike na kusimama. Watashikwa na hofu na kuaibishwa pamoja.
11 Tazameni! Wenzake wote wataaibishwa!+ Mafundi ni wanadamu tu. Wote na wakusanyike na kusimama. Watashikwa na hofu na kuaibishwa pamoja.