Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 47:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 Lakini utapatwa na msiba,

      Na hakuna hirizi yako yoyote itakayouzuia.*

      Utapatwa na shida; nawe hutaweza kuizuia.

      Utakumbwa na uharibifu wa ghafla ambao hujawahi kamwe kuona.+

  • Yeremia 50:24
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 Nimekutegea mtego, nawe umenaswa, Ee Babiloni,

      Nawe hukujua.

      Ulipatikana na kukamatwa,+

      Kwa maana ulimpinga Yehova.

  • Yeremia 50:43
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 43 Mfalme wa Babiloni amesikia habari kuwahusu,+

      Na mikono yake imelegea.+

      Amepata maumivu,

      Uchungu kama wa mwanamke anayezaa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki