Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 28:52
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 52 Watawazingira na kuwafungia ndani ya majiji* yenu yote, katika nchi yenu yote, mpaka kuta zenu ndefu na zenye ngome mnazozitegemea zitakapoanguka. Naam, kwa hakika watawazingira katika majiji yenu yote, katika nchi yenu yote ambayo Yehova Mungu wenu amewapa ninyi.+

  • Yeremia 34:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 “‘Nitatoa agizo,’ asema Yehova, ‘nami nitawarudisha katika jiji hili, nao watalishambulia na kuliteka na kuliteketeza kwa moto;+ nami nitayafanya majiji ya Yuda yawe ukiwa, bila mkaaji.’”+

  • Yeremia 44:6
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 6 Basi ghadhabu yangu na hasira yangu ilimwagwa na kuwaka katika majiji ya Yuda na kwenye barabara za Yerusalemu, na majiji hayo yakawa magofu na ukiwa, kama ilivyo leo.’+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki