Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ezekieli 21:21, 22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 21 Kwa maana mfalme wa Babiloni amesimama ili kufanya uaguzi* kwenye njia panda, mahali ambapo zile barabara mbili zinatengana. Anaitikisa mishale. Anaomba ushauri kutoka kwa sanamu* zake; anachunguza ini. 22 Uaguzi* ulio katika mkono wake wa kulia umeelekezwa Yerusalemu, ili kuweka mitambo ya kubomolea, ili kutoa agizo la kuchinja, ili kupiga kelele za vita, kuweka kwenye malango mitambo ya kubomolea, kujenga boma la kuzingira, kujenga ukuta wa kuzingira.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki