Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 19:11
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 11 nawe uwaambie, ‘Yehova wa majeshi anasema hivi: “Hivi ndivyo nitakavyowavunja watu hawa na jiji hili, kama mtu anavyovunja chombo cha mfinyanzi hivi kwamba hakiwezi kurekebishwa kamwe; nao watawazika wafu katika Tofethi hivi kwamba hakutakuwa na nafasi zaidi ya kuwazika.”’+

  • Ezekieli 6:4, 5
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Madhabahu zenu zitabomolewa na vinara vyenu vya uvumba vitavunjwa,+ na waliouawa kati yenu nitawatupa chini mbele ya sanamu zenu zinazochukiza.*+ 5 Nami nitazitupa maiti za watu wa Israeli mbele ya sanamu zao zinazochukiza, nami nitaitawanya mifupa yenu kuzunguka pande zote za madhabahu zenu.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki