-
Yeremia 12:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Wamelia kwa sauti kubwa dhidi yako.
Usiwe na imani nao,
Hata wakikuambia mambo mema.
-
-
Mika 7:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Wote huvizia ili wamwage damu.+
Kila mmoja anamwinda ndugu yake mwenyewe kwa wavu wa kukokotwa.
-
-
Mika 7:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
Uwe mwangalifu kuhusu mambo unayomwambia yule unayelala ukiwa umemkumbatia.
-