-
Yeremia 8:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Mikoromo ya farasi wake inasikika kutoka Dani.
Kwa sababu ya mlio wa farasi dume wake,
Nchi nzima inatetemeka.
Wanaingia na kuinyafua nchi na kila kitu kilichomo,
Jiji na wakaaji wake.”
-