- 
	                        
            
            Kumbukumbu la Torati 28:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
 - 
                            
- 
                                        
24 Yehova atafanya mvua ya nchi yenu iwe ungaunga na mavumbi ambayo yatawanyeshea kutoka mbinguni mpaka mtakapoangamia kabisa.
 
 -