2 Wafalme 16:7 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 7 Kwa hiyo Ahazi akatuma wajumbe kwa Mfalme Tiglath-pileseri+ wa Ashuru, akisema: “Mimi ni mtumishi wako na mwanao. Njoo uniokoe kutoka mikononi mwa mfalme wa Siria na kutoka mikononi mwa mfalme wa Israeli, wanaonishambulia.” Hosea 5:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Waefraimu walipoona ugonjwa wao, na watu wa Yuda kidonda chao,Waefraimu walienda Ashuru+ na kutuma wajumbe kwa mfalme mkuu. Lakini hakuweza kuwaponya,Wala hakuweza kuponya kidonda chenu.
7 Kwa hiyo Ahazi akatuma wajumbe kwa Mfalme Tiglath-pileseri+ wa Ashuru, akisema: “Mimi ni mtumishi wako na mwanao. Njoo uniokoe kutoka mikononi mwa mfalme wa Siria na kutoka mikononi mwa mfalme wa Israeli, wanaonishambulia.”
13 Waefraimu walipoona ugonjwa wao, na watu wa Yuda kidonda chao,Waefraimu walienda Ashuru+ na kutuma wajumbe kwa mfalme mkuu. Lakini hakuweza kuwaponya,Wala hakuweza kuponya kidonda chenu.