-
Yeremia 11:19, 20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
19 Nilikuwa kama mwanakondoo mtulivu anayepelekwa machinjioni.
Sikujua kwamba walikuwa wakipanga njama dhidi yangu:+
“Na tuuangamize ule mti na matunda yake,
Na tumkate kabisa kutoka kwenye nchi ya walio hai,
Ili jina lake lisikumbukwe kamwe.”
Acha nione ukiwalipiza kisasi,
Kwa maana nimeileta kesi yangu kwako.
-