Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 32:22
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Kwa maana hasira yangu imewasha moto+

      Ambao utateketeza mpaka kwenye kina cha Kaburi,*+

      Nao utateketeza dunia na mazao yake

      Na kuchoma moto misingi ya milima.

  • Isaya 1:31
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 31 Mwanamume mwenye nguvu atakuwa kitani,*

      Na kazi yake itakuwa cheche ya moto;

      Atateketea motoni pamoja na kazi yake,

      Na hapatakuwa na yeyote wa kuwazima.”

  • Yeremia 7:20
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 20 Kwa hiyo Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova anasema, ‘Tazama! Hasira yangu na ghadhabu yangu zitamwagwa mahali hapa,+ juu ya mwanadamu na mnyama, juu ya miti ya shambani na mazao ya ardhi; itateketeza na haitazimwa.’+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki