Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 17:24, 25
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 24 “‘“Hata hivyo, mkinitii kabisa,” asema Yehova, “nanyi msiingize mzigo wowote kupitia malango ya jiji hili siku ya Sabato, nanyi mwendelee kuishika siku ya Sabato ikiwa siku takatifu kwa kutofanya kazi yoyote siku hiyo,+ 25 ndipo wafalme na wakuu wanaoketi kwenye kiti cha ufalme cha Daudi+ wataingia pia kupitia malango ya jiji hili, wakipanda gari na farasi, wao pamoja na wakuu wao, watu wa Yuda na wakaaji wa Yerusalemu;+ na jiji hili litaendelea kuwa na watu daima.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki