Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 26:19
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 19 Nitakivunja kiburi chenu cha ukaidi na kufanya mbingu zenu ziwe kama chuma+ na nchi yenu kama shaba.

  • Yeremia 14:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  4 Kwa sababu udongo umepasuka,

      Kwa maana hakuna mvua nchini,+

      Wakulima wametamauka na kuvifunika vichwa vyao.

  • Amosi 4:7
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    •  7 ‘Pia niliwanyima mvua miezi mitatu kabla ya mavuno;+

      Nilileta mvua katika jiji moja lakini sikuileta katika jiji lingine.

      Shamba moja lilipata mvua,

      Lakini shamba lingine lilikauka kwa sababu halikupata mvua.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki