Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ezekieli 18:2-4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 2 “Methali hii mnayoisema katika nchi ya Israeli inamaanisha nini, ‘Akina baba wamekula zabibu chachu, lakini meno ya wana ndiyo yanayotiwa ukakasi’?+

      3 “‘Kwa hakika kama ninavyoishi,’ asema Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova, ‘hamtaendelea kuutaja msemo huo katika Israeli. 4 Tazama! Nafsi zote—ni zangu.* Kama nafsi ya baba ilivyo yangu ndivyo ilivyo nafsi ya mwana—ni zangu. Nafsi* inayotenda dhambi ndiyo itakayokufa.*

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki