-
2 Wafalme 25:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Lakini jeshi la Wakaldayo likamfuatia mfalme, nalo likamfikia katika jangwa tambarare la Yeriko, na wanajeshi wake wote wakatawanyika na kumwacha.
-
-
Maombolezo 3:52Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
52 Maadui wangu wameniwinda sana kama ndege bila sababu.
-