Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ufunuo 19:17, 18
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 17 Nikaona pia malaika amesimama katika jua, naye akaita kwa sauti kubwa na kuwaambia ndege wote wanaoruka katikati ya mbingu:* “Njooni hapa, mkusanyike pamoja kwenye mlo mkubwa wa jioni wa Mungu,+ 18 ili mle nyama za wafalme na nyama za viongozi wa kijeshi na nyama za watu wenye nguvu+ na nyama za farasi na za wale wanaoketi juu yao,+ na nyama za wote, za watu huru na vilevile za watumwa na za wadogo kwa wakubwa.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki