-
Ezekieli 47:21, 22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 “Mnapaswa kugawana nchi hii miongoni mwenu, miongoni mwa makabila 12 ya Israeli. 22 Mnapaswa kuigawa iwe urithi miongoni mwenu wenyewe na kuwagawia wageni wanaoishi pamoja nanyi ambao wamezaa watoto wakati wanaishi miongoni mwenu; nao watakuwa kwenu kama Waisraeli wenyeji. Watapokea urithi pamoja nanyi miongoni mwa makabila ya Israeli.
-