Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Ufunuo 22:1, 2
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 22 Naye akanionyesha mto wa maji ya uzima,+ mwangavu kama fuwele, ukitiririka kutoka katika kiti cha ufalme cha Mungu na cha Mwanakondoo+ 2 ukiteremka katikati ya barabara yake kuu. Pande zote mbili za ule mto zilikuwa na miti ya uzima iliyozaa mazao 12 ya matunda, ikizaa matunda yake kila mwezi. Na majani ya ile miti yalikuwa ya kuponya mataifa.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki