-
Yeremia 52:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Kisha wakamkamata mfalme na kumpeleka mpaka kwa mfalme wa Babiloni kule Ribla katika nchi ya Hamathi, naye akamhukumu.
-
-
Ezekieli 17:20, 21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Nitautandaza wavu wangu juu yake, naye atakamatwa katika wavu wangu wa kuwindia.+ Nitamleta Babiloni na kumhukumu huko kwa sababu ya ukosefu wa uaminifu alionitendea.+ 21 Wakimbizi wote kati ya wanajeshi wake watauawa kwa upanga, na wale wanaobaki watatawanyika kila upande.*+ Ndipo mtakapolazimika kujua kwamba mimi mwenyewe, Yehova, nimesema.”’+
-