Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 24:16, 17
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 16 Utukufu wa Yehova+ uliendelea kukaa juu ya Mlima Sinai,+ na wingu likaufunika kwa siku sita. Siku ya saba akamwita Musa kutoka katikati ya lile wingu. 17 Kwa Waisraeli waliokuwa wakitazama, utukufu wa Yehova ulionekana kama moto mkali kwenye kilele cha mlima.

  • Ezekieli 8:4
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 4 Na tazama! utukufu wa Mungu wa Israeli ulikuwa hapo,+ kama mwonekano niliokuwa nimeuona katika bonde tambarare.+

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki